Kikoromfe

Kikoromfe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Mali inayozungumzwa na Wakoromfe. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikoromfe nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 196,000. Pia kuna wasemaji 2000 nchini Mali. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikoromfe iko katika kundi la Kigur.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search